|
hajimehirosi (November 30, 1999 at 12:00 am)
Tukiwa na nia moja huku tukipambana kwa pamoja kwa ajili ya imani ya injili, bila ya kuwaogopa wanaompinga kristo hii ni ishara dhahiri ya kuangamia kwao lakini kwetu sisi ni ishara ya wokovu wetu kutoka kwa mungu. EMMA KANEKO FROM JAPAN MALINDI EXPRESSION .
jsawek (November 30, 1999 at 12:00 am)
wonderful song though it is emotional as i personaly prepare to cellebrate good friday where Jesus save the world from the sins. lets have this in our hearts and think twice cause He is caming for the last time.
alfredkoleta (November 30, 1999 at 12:00 am)
THANK YOU SOO MUCHumenisaidia sana I was thirsty for Homa Ya Dunia UBARIKIWE SANA. I now feel kama niko Africa mashariki yani Thanks Alot
atekee222 (November 30, 1999 at 12:00 am)
Vibao vyao vingine vipo hapo just search, kuna (Homa ya Duania sasa40%, Sema nami bwana, Mwenzenu Nahangaika, U barikiwe Na ujumbe ulioko hapa..
alfredkoleta (November 30, 1999 at 12:00 am)
GOOD WORK KEEP IT UP. Mambo yenu ni mazito Nafurahia mpangilio wenu.i remember Teacher TITO leadguitorist. JAMANI NAOMBA NIFAHAMISHWE VIBAO VYAO VINGINE VILIVYO KWA YOU TUBE. NORWAY/TAVETA-KENYA
masaiprincess (November 30, 1999 at 12:00 am)
asante sana atekee222 kwa kunijibu nitamtafuta mtu wa kunitumia kutoka nyumbani mimi ninaishi US natarajia kutembelea nyumbani mwakani Mungu akipenda mbarikiwe sana.
atekee222 (November 30, 1999 at 12:00 am)
Ameni. kwani wewe unaishi wapi sasa? unaweza kuzipata Arusha, Moshi,Dar es salaam,kwa maduka yanayouza kanda. Mbarikiwe wote.
masaiprincess (November 30, 1999 at 12:00 am)
Bwana abariki sana wimbo huu unikumbusha nyumbani nitapataje CD zenu naomba jibu from us.
muvis5 (November 30, 1999 at 12:00 am)
atukuziwe bwana millele kwanema yake anayetenda kwa watu wake.this song tell us about how percever in name of god.GOD BLESSTIS CHOIR FOR EVER
Nyathinyakatch (November 30, 1999 at 12:00 am)
Beautiful voices. God bless you all |