|
samomoi (November 30, 1999 at 12:00 am)
yizo kweli mazoweya yana tabu, hoyabadili yina shida.
AHMMEDMOHAMMED (November 30, 1999 at 12:00 am)
sio wewe tu,mimi pia usiku silali,hahaaaaa tuuupu
kakaz357 (November 30, 1999 at 12:00 am)
Sishi kusikiza wimbo huu. maneno yamepangwa yakapangika na ujumbe umelenga sawaa sawiya. Lugha ya tafsida na fani mbalimbali za kiswahili zimedhihirishwa katika wimbo huu. Huu ndio utamu wa lugha ya kiswahili
ghulamata (November 30, 1999 at 12:00 am)
wanikumbusha mbali nyimbo ya rafiki sagerwelo
mumomutinda (November 30, 1999 at 12:00 am)
Safi sana hizi nyimbo zako.Kila siku hii naicheza ofisini hapa Kentucky.Najisikia niko nyumbani kabisa.Zidi kuweka tamu zingine kama hizi.
yasmillion (November 30, 1999 at 12:00 am)
prophecy!!!!! I grew up on this song... taught me alot, gave me strength and then moved on.... thank you
midofabregas (November 30, 1999 at 12:00 am)
ee bwana weee hii iko safiiiiiiii hata akija uk basi tutaacha kazi zetu tumsapport.is the great one any way.
lil5boyk (November 30, 1999 at 12:00 am)
i love zanzibar hahah aaah mashallah abdallah issa ,mungu akuzidishiye
Generalidibabu (November 30, 1999 at 12:00 am)
mwembe tayari?
abdikim (November 30, 1999 at 12:00 am)
wanikumbusha kwetu... |