TOLEO LA PILI LA HOTUBA YA MCHUNGAJI MUNISHICCM inawatesa Watanzania, wengine inawaua, kosa lao ni kusema hawaitaki CCM. Sera za CCM zimeiharibu Tanzania. Ujamaa wa...
Mchungaji Munishi wa Kanisa la DISCIPLES CHURCH NAIROBI, akionya kuhusu mtindo wa wanasiasa wa Tanzania kuwazuia wachungaji kutoa maoni yao kuhusu mambo muhimu nchini.Alisema CCM...